Ni kitanda imara ambacho kimetengenezwa kwa 1. Kimepakwa redoxode pamoja na rangi nyeusi kuzuia kutu na kupendeza. Your email address will not be published. General Subject to stock availability. We try to maintain accurate stock counts on our website but from time-to-time there may be a stock discrepancy and we will not be able to fulfill all your items at time of purchase. In this instance, we will fulfill the available products to you, and contact you about whether you would prefer to await restocking of the backordered item or if you would prefer for us to process a refund.

Shipping Costs Shipping costs are calculated during checkout based on weight, dimensions and destination of the items in the order. Payment for shipping will be collected with the purchase. This price will be the final price for shipping cost to the customer.

Delivery Terms - Transit Time Domestically In general, domestic shipments are in transit for 2 - 7 days. This varies greatly depending on the courier you have selected. We are able to offer a more specific estimate when you are choosing your courier at checkout.

meza za chuma za tv

In these instances, we take steps to ensure shipment delays will be kept to a minimum. Change Of Delivery Address For change of delivery address requests, we are able to change the address at any time before the order has been dispatched. Items Out Of Stock If an item is out of stock, we will cancel and refund the out-of-stock items and dispatch the rest of the order.

Delivery Time Exceeded If delivery time has exceeded the forecasted time, please contact us so that we can conduct an investigation. Tracking Notifications Upon dispatch, customers will receive a tracking link from which they will be able to follow the progress of their shipment based on the latest updates made available by the shipping provider.

Sales Tax Sales tax has already been applied to the price of the goods as displayed on the website. Warranty Returns MAKAZI will happily honor any valid warranty claims, provided a claim is submitted within 90 days of receipt of items. Customers will be required to pre-pay the return shipping, however we will reimburse you upon successful warranty claim. Once warranty claim is confirmed, you will receive the choice of: a refund to your payment method b a refund in store credit c a replacement item sent to you if stock is available.

Kitanda cha chuma 5×6 kizuri cha kupendeza

Return Due To Change Of Mind MAKAZI will happily accept returns due to change of mind as long as a request to return is received by us within 7 days of receipt of item and are returned to us in original packaging, unused and in resellable condition provided that there is acceptable reason which we have also declared before in this website.

Return shipping will be paid at the customers expense and will be required to arrange their own shipping. Once returns are received and accepted, refunds will be processed to store credit for a future purchase.

DIY a stylishTV stand

We will notify you once this has been completed through email. Cancellations If you change your mind before you have received your order, we are able to accept cancellations at any time before the order has been dispatched. If an order has already been dispatched, please refer to our refund policy.Blog yako ya Ujenzi zone leo itakupa somo kuhusu mionekano tofauti ya sebule zetu zinavyotakiwa kuwa' na hii yote ni kukuongezea ideas ambazo ukizifanyia kazi utaifanya sebule yako iwe paradiso ndogo na kukuvuta uwahi nyumbani muda wote.

Muhimu kabisa kwa tunaoanza ujenzi tuzingatie kuzipa sebule zetu nafasi ya upendeleo ili ziwe na hewa na mwanga wa kutosha kuhimili mzunguko wa watu. Pili,tuzingatie urembo wa ceiling kama gypsum basi iwe na muundo tofauti kidogo na vyumbani ilimradi mvuto uongezeke. Wakati ujenzi unaendelea waweza dizain nguzo fulani au steps za kushuka au kupanda plus tv wall ilimradi pawe na mvuto wa kile unachokipendelea,wengine hujengea glass blocks kwa ndani,pia kabati la kuweka tv ni vyema likadzainiwa likae wapi mapema showcase.

Baada ya ujenzi zingatia taa nzuri,rangi tofauti kwa ukuta mmoja, picha nzuri za ukutani,shelves za kisasa nazo huongeza umaridadi,makochi mazuri,capet nzuri na coffee table nzuri. Hauhitaji makorokoro mengi sana kuipendezesha sebule yako ni kuwa na usefull staffs chache na zenye muonekano mzuri. Wall pepa zikidizainiwa vizuri especially kwa kuta moja mfano tv wall nazo huvutia sana.

Picha za ukutani ni vyema ikawa moja kubwa na nzuri na sio zijae kuta pande zote za sebule,nyingine weka kwa corido na kadhalika,maana zikizidi mbili inakuwa sio tulivu. Jionee kwa picha na utapata wazo. Post a Comment. Social Icons. Share to Twitter Share to Facebook.

Labels: Interior design. No comments :. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Please Share this Blog. Subscribe news via Mail. Most viewed post. Ukuaji wa teknolojia umeongeza kwa kasi mabadiliko katika ujenzi wa nyumba zetu. Tofauti na miaka iliyopita ambapo nondo zilitumika kwa kiasi kikubwa, sikuhizi chuma aina ya flat bar na nondo za square bar ndio zmekuwa ziAsilimia kubwa za hizi nyumba madirisha na milango havijazingatia hatari ya wezi kutokana na mazingira yao ila kwa Tanzania ni ngumu kufanya hivi japo kuna baadhi ya nyumba nimeshawahi kwenda nikakutana na kitu kama hiki lakini zote zina uzio mkubwa kuzizingira.

Pamoja na kwamba kuna uwezekano wa kushindwa kujenga nyumba kama hii Tanzania naamini unaweza kupata chochote kitu mfano mimi hapa leo nimependa mpangilio wa taa za nje na ndani, rangi ya ukuta, muonekano wa nje kwenye picha ya kwanza na hizi picha nyingine zinazofata hapa chini.

Hii nyumba ya hizi picha zilizotangulia hapa juu iko Mexico City huko Mexico, hii ya pili inayofata hapa chini ipo Australia. Wakati mwingine vitu vidogo kama hii garden huwa vinanifanya nidate, ni garden ndogo lakini simple na nzuri.

Nimevutiwa pia na hiyo fensi upande wa kulia ikiambatana na garden yake. Na siku ukijenga chochote kutokana na hizi picha unazoona hapa mtu wangu usiache kunijulisha yani… zinazofata hapa chini ni picha za ndani kuanzia chumbani, jikoni na bafuni unaweza kupata chochote pia. By Millard Ayo. Hii nyumba ya hizi picha zilizotangulia hapa juu iko Mexico City huko Mexico, hii ya pili inayofata hapa chini ipo Australia Wakati mwingine vitu vidogo kama hii garden huwa vinanifanya nidate, ni garden ndogo lakini simple na nzuri.

Related Items.This blog is all about home decoration and accessories. Inside here you will find trendy home decor Ideas and some of our projects which we have done and that we can do for you. Posting Komentar. Diberdayakan oleh Blogger. Home Decoration. Hii ni kazi yangu Fancy Home Decor inaendelea kupokea oda za kutengeneza meza za chuma Karibu kuweka oda. Diposting oleh Unknown di Berbagi ke Twitter Berbagi ke Facebook.

Tidak ada komentar:. Langganan: Posting Komentar Atom. Popular Posts. Shoe wheel Fancy Home Decor imeanza kupokea oda za kutengeneza makabati ya jikoni. Tunatumia mbao yoyote kwa kadiri ya matakwa ya mteja wetu, mninga, m Habarini wadau wa FancyHomeDecor, mniwie radhi kwa kuwa kimya kwa mda kidogo ni kutokana majukumu mbalimbali yaliyokuwa yamenitinga Sasa n FancyHomeDecor ilipokea oda ya ku design grills za madirisha na mlango kutoka kwa mdau wa Masaki, ambapo nilitakiwa kuziondoa grills za zama Kitanda hichi na stand hii ya viatu ni kazi ya Fancy Home Decor Size ya kitanda ni 6x6.

Tunatengeneza kwa oda Kuweka oda Call us Price depends on the size of the bed and design Pineapple angel food cake.

meza za chuma za tv

Haven no place like it! Hello all!

Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kunifanikisha Project hii Mbarikiwe sana wadau!!Post a Comment. Monday, June 20, Unajiuliza uweke TV yako juu ya kabati lake au uipachike ukutani? Jibu hili hapa. Fahamu faida na changamoto za maeneo mawili ya kuweka luninga.

Uko kwenye mchakato wa kuweka luninga na unafikiria uiweke juu ya kabati la luninga au uisimike ukutani? Kuna mengi ya kujua kwenye kuchagua haya maeneo mawili kabla hujafanya uamuzi wa mwisho.

meza za chuma za tv

Unapoamua kama. Tangu kuingia kwa matoleo ya luninga flati, kuzisimika ukutani imekuwa ni njia mbayo inafanya zionekane na kutizamika vizuri zaidi. Vilevile kusimika ukutani siku hizi imekuwa hata maarufu zaidi kwa sababu huhitaji kuweka chochote sakafuni kwa ajili ya kuishikilia.

Namna hii inakifanya chumba ambacho luninga imewekwa ukutani kuonekana kuwa na nafasi kubwa. Pia ni njia salama kwa watoto wanaopenda kuchezea waya au kupanda juu ya kabati na pengine kuidondosha na kuivunja luninga yako ya gharama.

Zaidi ya muonekano wa kiwango na mvuto, njia ya kusimika luninga ukutani ni sahihi hasa kwa wale wenye nyumba ndogo.

KIVUMA CATERING SERVICE

Faida nyingine ya kuwa na luninga ukutani ni kwamba unaweza kutumia spika ndogondogo za kuweka darini kwenye kona za chumba. Hii ina faida sana kwani waya zote zinajificha hakuna inayoonekana wazi. Tukija kwa upande wa njia ya kuweka luninga juu ya kabati ni kuwa inachukua nafasi kubwa kuliko ile ya kusimika ukutani.

Makabati ya kuwekea luninga yanakuja kwa rangi nyeupe, nyeusi na hata katika finishing mbalimbali za mbao na chuma. Ni ukweli kuwa makabati ya luninga yanachukua nafasi kubwa ya sakafu na chumba.

Watu wangu mnaowaza kujenga, hizi ni picha za nyumba nzuri za leo… unaweza kupata chochote

Kwa miundo yake mengi yameongezewa maeneo ya hifadhi kama vile droo na shelfu ambapo kwa upande mwingine ni faida kwamba unaweza kuhifadhia humo muvi, vitabu na hata michezo ya kwenye luninga na hii inakusaidia kuweka mpangilio wa mahali luninga ilipo. Ni vyema upate majibu ya maswali haya matatu wakati wa kuchagua njia sahihi kati ya hizi mbili ya kwamba usimike luninga ukutani au uiweke juu ya kabati.

meza za chuma za tv

Jambo la muhimu ni kuwa, kwa njia yoyote utakayochagua, usalama iwe jambo la kuzingatia zaidi. Baada ya hapo, hifadhi nayo ni muhimu.

Na pia usisahau muonekano, ambapo unachangia kukupa msukumo wa kuchagua kabati la luninga au ukutani. Kila mmoja anataka ndani ya nyumba yake kuonekane kusafi na kuwa na mpangilio ili kuvutie.

Simu No comments:.Ni kitanda imara ambacho kimetengenezwa kwa 1. Kimepakwa redoxode pamoja na rangi nyeusi kuzuia kutu na kupendeza. Your email address will not be published. General Subject to stock availability. We try to maintain accurate stock counts on our website but from time-to-time there may be a stock discrepancy and we will not be able to fulfill all your items at time of purchase.

In this instance, we will fulfill the available products to you, and contact you about whether you would prefer to await restocking of the backordered item or if you would prefer for us to process a refund.

Shipping Costs Shipping costs are calculated during checkout based on weight, dimensions and destination of the items in the order. Payment for shipping will be collected with the purchase. This price will be the final price for shipping cost to the customer. Delivery Terms - Transit Time Domestically In general, domestic shipments are in transit for 2 - 7 days. This varies greatly depending on the courier you have selected.

We are able to offer a more specific estimate when you are choosing your courier at checkout. In these instances, we take steps to ensure shipment delays will be kept to a minimum. Change Of Delivery Address For change of delivery address requests, we are able to change the address at any time before the order has been dispatched.

Items Out Of Stock If an item is out of stock, we will cancel and refund the out-of-stock items and dispatch the rest of the order. Delivery Time Exceeded If delivery time has exceeded the forecasted time, please contact us so that we can conduct an investigation. Tracking Notifications Upon dispatch, customers will receive a tracking link from which they will be able to follow the progress of their shipment based on the latest updates made available by the shipping provider.

Sales Tax Sales tax has already been applied to the price of the goods as displayed on the website. Warranty Returns MAKAZI will happily honor any valid warranty claims, provided a claim is submitted within 90 days of receipt of items.

Customers will be required to pre-pay the return shipping, however we will reimburse you upon successful warranty claim. Once warranty claim is confirmed, you will receive the choice of: a refund to your payment method b a refund in store credit c a replacement item sent to you if stock is available.Post a Comment.

Social Icons. Wengi tumeshazoea na ni desturi kujenga nyumba zenye eneo la kukutania na kubadili mawazo,wakati wowote iwe asubuhi au mchana. Sebule ni muhimu sana kwa nyumba zetu na huwa ni sehem ya starehe kwa namna moja ama nyingine. Muhimu sebule iwe na nafasi kuweza kuingia fenicha za aina mbalimbali,kama makochi,meza na kabati la televisheni. Pili uchaguzi mzuri wa rangi za ndani nao huweka mvuto maridhawa kwa ndani hapa zingatia rangi zilizopoa. Tatu dizain ya ceiling nayo ni pambo kwa sebule zetu ukiweka na taa nzuri,za gypsum.

Madirisha makubwa nayo huongeza mvuto ukijazia na pazia ndefu zenye curtain rods nzuri,iwe ni chuma au aluminum au mbao. Zingatia urembo wenye kumech rangi japo kias kidogo na rangi kuu zilizotawala mfano waweza weka vase au picha ya ukutani yenye kuwiana na rangi zilizopo. Ukimudu kuweka zile shelf za ukutani nazo husaidia frem za picha kuwa dsplayed vizuri. Wale wanaopendelea wall pepa inapendeza kuziweka kwenye ukuta mmoja hasa inapokaa tv na music system.

Usafi ni pambo kuu kwa sebule zetu na pia tujifunze kupunguza makorokoro na mazagazaga yasiyohusika,mfano magazeti,mavitabu,makasha ya cd,maua ya kila rangi nayo hayapendezi kurundikwa sebuleni.

Meza ya chakula ya kisasa kabisa

Ushauri ni kuwa tusijilemaze kusema siwez i kuwa na sebule makin kama zilizopo pichani kisa wanangu wadogo. Share to Twitter Share to Facebook. Labels: Sitting room ideas. No comments :. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Please Share this Blog. Subscribe news via Mail.


thoughts on “Meza za chuma za tv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *